Membe anamwambia nini Kagame?

kambitza

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2013
Posts
2,045
Reaction score
1,326
Leo katika hafla ya kutia sahihi mkataba Wa ujenzi Wa reli nchini Kenya, Kati ya Uhuru Kenyata na Waziri mkuu Wa China.

Waziri Wa mambo ya nje Wa Tanzania Mh Bernard Membe alimuwakilisha Rais Wa Tanzania, Katika Picha kwa mbali anaonekana akizungumza jambo Rais Wa Rwanda Bw. Poul Kagame.
 

Attachments

  • 1399795301652.jpg
    36.9 KB · Views: 1,601
Anamwambia,unajua mimi ndiye rais nijaye
 
Hivi tunajifunza nini wenzetu wanapo sign mikataba ya ujenzi wa reli,huku sie tukiendelea na ujenzi wa barabara zetu za "manundu manundu"
 
Anamwambia njoo Tanzania uone cha moto
 
Hivi tunajifunza nini wenzetu wanapo sign mikataba ya ujenzi wa reli,huku sie tukiendelea na ujenzi wa barabara zetu za "manundu manundu"

Kenyata anatimiza ahadi zake alizotoa wakati wa kampeni, mr fast jet ye aliahidi meli tatu katika maziwa yetu makuu matatu...
 
Mzee wa Mtama anamuuliza kama ameshawacheza wale watoto wake wa kike, maana wameshakuwa wakubwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…