Membe amkosoa Magufuli

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,407
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafikiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli.

=====================

 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli
Sizonje.... Karibu nyumbani kwetu
Hii ndio nyumba yetu, tulimoficha miundu ya kuulia wezi.
 
Muwe mnaweka Taarifa Kamili..wengine huku tupo vijiji Gazeti la la Ijumaa unalisoma Jumatatu...yawezekana kilichoko ndani ni Tofauti kabisa ni Heading...Hapo kwenye ada ya Milioni 60 hao watetezi wanaowasema watakuwa wamesoma maoni ya WANAJAMIIFORUMS....
 
Joho la ukawa lina utaalamu wake. Haya ni matokeo ya serikali kutaka ionekane machoni mwa watu kwamba ni sawa na UKAWA waliyoipigia kura kwa kulazimisha joho lile bila utaalam. Matokeo yake ndiyo huu mkao wa srikali wa UCHI UCHI tu kila mahali!.
 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli


Haka kajamaa hakajitambui, ni fisadi Jnr. Yeye atasema chochote atakacho ili tu kumyumbisha Magufuli asitumbue majipu ya JK na mawaziri wake majambazi. Naona ni wivu tu ndiyo unaomsumbua Membe kwani alitaka sana kuwa rais ili aendelee kuiba na kutetea maslahi ya JK. Rais Magufuli inabidi atumbue majipu ya Membe haraka sana.
 
Sasa nimeamini kuwa watakaomkwamisha Magufuli ni virusi ndani ya CCM...... Kwa hili nafkiri Membe katumwa na yule jamaa ili amchane Magufuli
Umenena! Rais JPM anajitahidi kukirejeshea heshima chama na serikali yake halafu anatokea MTU aliyekuwa kiongozi wa ngazi ya juu kabisa wa serikali na akawa mgombea urais anatoa kauli kama hizo ujue kuna tatizo kubwa. Je! yeye Membe ktk uongozi wake angeendelea na ubadhilifu uliokuwepo? Kuh safari za nje za Rais, lini Rais Magufuli alisema hatasafiri nje? Tunaomba wana CCM wamuunge mkono na kumsaidia Rais badala ya kutoa kauli za kufifisha juhudi zake.
 
Hii imekaaje waungwana? mbona kama bifu dogo linaanzishwa hapa au ni uchonganishi?

Mwisho wa siku mmoja lazima apindue tu.
 
Kwani aliwahi kusema kuwa hataenda nje!?
Hii jamii bwana, bila ya kusafiri wanadhani maisha hayawezekani!
 
Kwan ye alimsikia wapi akisema hato kwenda nje katika utawala wake?
inje muhim kamanda bila inje mambo haiendi....
we huoni THE BOSS KUBWA aliyepita alikuwa anaenda inje kila wiki ni kwa ajili mambo iende sawa watoto wapate kupishana msalani. vinginevyoooo.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…