Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.

Elly B hata ungekuwa wewe unaletewa tiketi ya kwenda na kurudi China na hela ya matumizi utakataaa kisa nini?
Rais wa chuo ndiyo anaandika hovyo kiasi hiki kazi tunayo.Sisi marais wa vyama vya wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania tumelipiwa safari(nauli &pesaya kujikimu) ya kwenda na kurud China kwa gharama za mhe. kama njia ya kutaka support yetu wakati ukifika kutafuta kura 2015. CDM mtajibeba 2015 mmezidi ubahili.
Mkuu huyu hana usomi wala uongozi wowote katika taifa hili ila ni bavicha wa kawaida tu.Nyie ndio mnajiita wasomi tena viongozi wa wasomi......kama mpaka membe kaweza kuwashika akili no wonders hata shamba boy wangu anaweza kuwashika akili.....poleni sana kwa fedheha na kadhia hii