Membe akalia kuti kavu NEC

Membe akalia kuti kavu NEC

Mkuu, kusalimiana tu ndo washakuwa MA-BEST?

Walipokuwa ndani ya BUNGE Mr. Kabwe akiwakilisha Issue ya FEDHA USWISI; MEMBE alimwambia wewe ni RAFIKI yangu lakni ni BORA kwanza UTAJE HAYO MAJINA ya WATU wenye Account USWISI

Naona Sasa baada ya BUNGE wanaongea kumbe kweli ni MA-BESTI... through JK nini??
 
MEMBE anajua kile anachokizungumza na wala habahatishi kwa kuwa nyuma yake Mzee wa kaya anamsupport,lakini hapaswi kutema cheche hizo kwani hata kura bado hazijapigwa,kitu cha muhimu ambacho anapaswa kufahamu ni kwamba,kila mtu aliyeko kwenye chama [CCM] anasumbuliwa na njaa,chaguzi zote za CCM zinatawaliwa na rushwa hilo hata Mwenyekiti wake analifahamu,japokuwa anashindwa kulitaja kundi ambalo limeanza kucheza faulo,hakuna mtu asiyejua kuwa kundi la EL linaogopwa vibaya ndani na nje ya chama,siwezi kushangaa sana pale ambapo jina la MEMBE litakosekana miongoni mwa majina yatakayo tangazwa kuwa ndiyo washindi,natambua vyema kiapo cha Usalama wa Taifa hasa pale unapojikita sana kwenye siasa chafu za Magamba,hata kama atachezewa faulo najua atabaki kulalama tu,na hata huo uozo wa watu walioficha pesa chafu nje kamwe hana uwezo wa kuanika majina yao kwani kuna majina yanayompa wakati mgumu kuanika hadharani kwa kuhofia lolote juu ya maisha yake,hata hivyo nawatakia uchaguzi mwema.
 
hivi gharama za malazi na chakula cha wajumbe wote wa mkutano huo wa ccm unafadhiliwa na nani? ccm wanatoa wapi pesa au ndio hizo wanazochota BOT/TRA?
 
Membe kama Mende..anataambaa kwa chini chini anatumia karata ya Zitto ya kufichuwa walio na akaunti Uswis ili aweze kujijengea Umaarufu...Werema na Kundi la EL wameshtukia wanataka kummaliza. wajuzi wa mambo waliosikiliza vyema maneno ya Kangi Lugola wakati wa kuchangia Hoja ya Zitto wanaweza kujua ni namna gani Membe amejipanga kujitengenezea Urais 2015 kupitia Agenda ya Mafisadi na Zitto anatumiwa kupitisha hoja hii ili isionekana Membe ana nia ya kuwamaliza wana CCM wenzake..Siasa Mchezo mchafu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom