Membe 2020 tatizo ni msumeno

Membe 2020 tatizo ni msumeno

The August

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2018
Posts
1,079
Reaction score
2,027
Nani kaushika.
DuIMVn7WsAAm0te.jpeg
 
Wamachinga ndio wakombozi wa Jiwe kwa sasa Vitambulisho 670000× 20000 ni bilioni 13+ kwa kila mwaka
 
Mkisikia anatafuta mchepuko mnijulishe.

#Twende na membe 2020.
 
msumeno mmeutafakari lakini? Au ni safari ya matumaini.
 
Huo msumeno ukifika pale ulipoanzia ni wazi kuwa jamaa anazama chini.

Kuna mtu yupo chini ya kiti anafanya yake.
 
Back
Top Bottom