amity wanafunzi
Member
- Aug 4, 2013
- 7
- 3
Hii ndio hali halisi ya Bandari ya Dar es salaam Leo berth zimejaa kushusha na kupakia mizigo kwenye MELI.
Bandari yarudi kwenye ubora wake.
Bandari yarudi kwenye ubora wake.
heeeee mbona katika post kama hz nyumbu hawaji kucomment??au wanacomment ktk mabaya tuu??
heeeee mbona katika post kama hz nyumbu hawaji kucomment??au wanacomment ktk mabaya tuu??
Wapo wanarandaranda huku wakiogopa kuchangia. Wanangoja habari mbaya ndio waingie dimbani.heeeee mbona katika post kama hz nyumbu hawaji kucomment??au wanacomment ktk mabaya tuu??
Hahaaa eti wanakula majani..nyie watu nyieBado wanakula majani watakuja kunywa maji wakipata kiu mchana hivi
Wewe ni yule alitupa talanta yake!hizi ndio zile meli za shirika la afya duniani zilizoleta mabox ya condom na pampers za msaada pamoja na neti?
mtoa mada hebu toa ufafanuzi japo tunaona meli mbili tu zilizosogeleana
Kwa kawaida nyumbu hupumzika pale nguruwepori wanapokuwa active. Hebu kapumzike usipoona wameibuka.heeeee mbona katika post kama hz nyumbu hawaji kucomment??au wanacomment ktk mabaya tuu??