Meli yenye wakimbizi zaidi ya 500 yazama pwani ya Libya na kuua watu zaidi ya watano

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Wakimbizi.jpg

Jana meli ya wakimbizi ilizama katika pwani ya Libya, jeshi la majini la Italia limewaokoa watu 500. Watu 7 wamefariki, na idadi ya vifo huenda ikaongezeka.

===========================

At least five people have died and hundreds have been rescued after a wooden fishing boat carrying refugees capsized off the coast of Libya.

Some 550 people, including women and children, were rescued by Navy swimmers, the Italian navy said on Wednesday.

Photographs of the incident show the blue fishing boat rocking precariously before capsizing and sending the refugees into the sea.

Some of the passengers were pictured climbing onto the hull of the overturned vessel, while other swam for safety to life boats or towards the navy ship.

Navy swimmers are also shown pulling migrants in lifebelts toward the Bettica. No details of the migrants' nationalities have been given.

Reports by Associated Press suggest seven bodies may have been recovered.

The vessel was spotted in a "precarious condition" by Navy ship Bettica while on patrol in the southern Mediterranean.
"Shortly afterwards the boat overturned due to overcrowding. The Bettica, which had arrived nearby, threw life-rafts and jackets to the migrants in the water," the Navy said in a statement.

Several motor boats are being used in the rescue operations which are still underway, and the navy frigate Bergamini has deployed a helicopter.

Boat arrivals rose sharply this week in conjunction with warmer weather and calm seas. Italy's coastguard said 5,600 migrants were rescued on Monday and Tuesday, and officials fear numbers will increase as conditions improve.

In the past two years, more than 320,000 boat migrants have arrived on Italian shores and an estimated 7,000 died in the Mediterranean as they sought to reach Europe, according to the International Organization for Migration.


Source: Reuters
 
Wanakwenda wapi? Kwa nini wasikimbilie kwenye nchi za Africa?
 
Wanatokea Libya wanataka kwenda ulaya. Wakimbilie nchi za Afrika kuna njaa Bara la Afrika wanakimbilia Ulaya kwenye Neema.
Kumbe tatizo siyo Ukimbizi, bali ni kufuata neema. Hizo neema watazipataje wakati kila kukicha wanazama?
 
Wanatokea Libya wanataka kwenda ulaya. Wakimbilie nchi za Afrika kuna njaa Bara la Afrika wanakimbilia Ulaya kwenye Neema.
Nchi za kiarabu ziko wapi, hawa ni waislamu wenzao ( ingawa wanadamu wote lazima kusaidiana) , ni wajibu kutoa msaada. Undugu usije kwenye dini tu bali kusaidiana!
 
Nchi za kiarabu nyingi ni majanga tu,waarabu kupigana kwao ni kama fashion kwahiyo hakuna wa kumsadidia mwenzake hapo ni bora wakimbilie huko kwa wazungu ambako angalau watakuwa na uhakika wa kuishi iwapo unafanikiwa kufika.
 
Back
Top Bottom