Meli yakwama kwenye tope Ziwa Victoria

Obi

JF-Expert Member
Jul 6, 2009
374
79
Meli iliyokuwa inatoka Mwanza kwenda Ukerewe imekkwama kwenye tope Ziwa Victoria.
Meli hiyo inasadikiwa kuwa na watu zaidi ya 250
Hakuna juhudi zozote zinazochukuliwa na wahusika kuokoa maisha ya watu hao.
 
oooh ooh ooh ooh

Ee Mungu nusuru maisha ya watu waliopo kwenye meli hiyo na waepushe na ya MV Bukoba!!
 
I am just wondering, kama kweli taarifa hazijavifikia vyombo husika au ndo yaleyale ya siku zote ambapo watu wanajikausha hadi yatokee madhara makubwa. Eee Mungu warehemu watu wako.
 
Mungu asaidia maisha ya watu na maskini wa Taifa letu Tanzania maana hali yao, ajali barabarani, kwenye maji, moto, njaa kila sehemu vipi jamani
 
I am just wondering, kama kweli taarifa hazijavifikia vyombo husika au ndo yaleyale ya siku zote ambapo watu wanajikausha hadi yatokee madhara makubwa. Eee Mungu warehemu watu wako.
Ni uzembe tu wa watendaji wetu
 
Mungu saidia hao waja wako kutokana na janga hilo
Sina hakika ni muda gani hilo tukio limetokea na ndugu yetu huyu kutupa hizi taarifa,,INAWEZEKANA ndio kwanza issue inatokea kwahiyo wahusika ndio wapo katika kuchukua hatua,,, maana inachukua dakika chache sana kutuma post hapa barazani kuliko kuchukua hatu ya uokozi,,,hata kwa nchi zilizoendelea speed yao haiwezi kuwa kubwa kupita ya kutuma post katika forum..
Nashauri tuwaombee dua ndugu zetu kabla hatuaanza kutupa lawama na laana
 
Back
Top Bottom