Jandaruma JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 527 Reaction score 480 Nov 22, 2017 #41 Wale watakao kuuza BANDAMA, FIGO, MAINI au UTUMBO changamkieni meli imekuja ndiyo fursa hiyo!
E eddy JF-Expert Member Joined Dec 26, 2007 Posts 17,079 Reaction score 12,307 Nov 23, 2017 #42 Bavicha ndio wanaouza hizo kadi wapuuzi sana
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,167 Nov 23, 2017 #43 Mkwaju Ngedere said: BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI Click to expand... Mkuu huyu mjinga mjinga alichokosea ni kudanganya watu kwamba huduma zinazitolewa pale kuna MTU amelipa gharama zote! Huo si ni utapeli?
Mkwaju Ngedere said: BINADAMU HAWANA WEMA ,PAMOJA NA JITIHADA ZOTE ANAZOFANYA MKUU WA MKOA BADO UNAMWITA TAPELI? MNYONGE MNYONGENI, HAKI YAKE MPENI ! ANASTAHILI PONGEZI KWA HILI Click to expand... Mkuu huyu mjinga mjinga alichokosea ni kudanganya watu kwamba huduma zinazitolewa pale kuna MTU amelipa gharama zote! Huo si ni utapeli?
N Noel kabigi Member Joined Oct 15, 2017 Posts 16 Reaction score 8 Nov 23, 2017 #44 Jamani hivi utofauti upo wapi Kati ya utawala wa Vatican na ule wa italy
Chakochangu JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,668 Reaction score 2,174 Nov 23, 2017 #45 Wakitoka hapo wanafika huku Mtwara?
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,030 Reaction score 59,682 Nov 23, 2017 #46 Kama Magufuli kawalipa kwa nini wakae siku tano? Inabidiwakae hata miezi miwili manake si wamekula pesa ya gucci G
Kama Magufuli kawalipa kwa nini wakae siku tano? Inabidiwakae hata miezi miwili manake si wamekula pesa ya gucci G