Umeandika kijinga na kiushabiki sana! Tukio la ajali unalihusishaje na uwezo wa kijeshi? Unajua ni ajali ngapi zimetokea kwa vyombo vya kijeshi vya marekani? Unafahamu kwamba wakati askari mahili wa kimarekani wenye ujuzi wa hali ya juu walipotumwa kwenda kumvamia Osama helicopter yao moja ilipata ajali? Hapo wamevamia Nyumba ya mtu....vipi wakiwa wanapambana na Mrusi? Je tuwabeze kwa kuhitimisha kuwa marekani atapigwa na Mrusi?
huu ni uzembe ulio pitiliza kwa jeshi la urusi. kama meli tu ya ujasusi. imegonga meli nyingine ya mizigo na kuzama na je vikitokea vita na marekani itakuwaje.
na mmarekani yeye akilianzisha amelianza hakuna kulala.
kwahiyo nawashauri wale wote mnao mbeza mrusi kwamba anaweza kumpiga mmarekani mfute kauli mara moja msije mkaja mkaaibika.
pale mtalapo kuja kushuhudia mrusi anakuja kupigwa kama mtoto pamoja na tumakombora twake.
Binadamu tumekua watu wa ajabu sana mpaka vita nazo tunaziwekea ushabiki kama mpira.
huu ni uzembe ulio pitiliza kwa jeshi la urusi. kama meli tu ya ujasusi. imegonga meli nyingine ya mizigo na kuzama na je vikitokea vita na marekani itakuwaje.
na mmarekani yeye akilianzisha amelianza hakuna kulala.
kwahiyo nawashauri wale wote mnao mbeza mrusi kwamba anaweza kumpiga mmarekani mfute kauli mara moja msije mkaja mkaaibika.
pale mtalapo kuja kushuhudia mrusi anakuja kupigwa kama mtoto pamoja na tumakombora twake.
sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.Umeandika kijinga na kiushabiki sana! Tukio la ajali unalihusishaje na uwezo wa kijeshi? Unajua ni ajali ngapi zimetokea kwa vyombo vya kijeshi vya marekani? Unafahamu kwamba wakati askari mahili wa kimarekani wenye ujuzi wa hali ya juu walipotumwa kwenda kumvamia Osama helicopter yao moja ilipata ajali? Hapo wamevamia Nyumba ya mtu....vipi wakiwa wanapambana na Mrusi? Je tuwabeze kwa kuhitimisha kuwa marekani atapigwa na Mrusi?
Acha uvivu katika kutumia akili hata kwa mambo madogo kiasi hiki!
Hahahahahlabda walikuwa wamepiga viroba au wanatafuta kiki
Unataka tukuamini kwamba wewe ni muelewa sana katika mambo ya usafiri wa majini kuzidi askari wa majini wa Russia?sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.
sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Watu wanadhani vita ni kama kucheza mziki disco!Binadamu tumekua watu wa ajabu sana mpaka vita nazo tunaziwekea ushabiki kama mpira.
Utasikia team North Korea, team USA au team Russia
Hii ni dalili mbaya sana duniani nadhani mwisho wa dunia unakaribia.
Kwani hyo meli ya urusi ilikuwa katika yao?sawa pale mmarekani walikuwa kwenye operesheni kali na ukizingatia walikuwa kwenye nchi ya watu.
sasa urusi meli ya ujajusi inaenda kugonga meli ya mizigo baharini ambapo ni kweupe na hakuna mtu ambaye alikuwa anafukuzana naye.
huo ni uzembe ulio pitiliza.
Umeandika kijinga na kiushabiki sana! Tukio la ajali unalihusishaje na uwezo wa kijeshi? Unajua ni ajali ngapi zimetokea kwa vyombo vya kijeshi vya marekani? Unafahamu kwamba wakati askari mahili wa kimarekani wenye ujuzi wa hali ya juu walipotumwa kwenda kumvamia Osama helicopter yao moja ilipata ajali? Hapo wamevamia Nyumba ya mtu....vipi wakiwa wanapambana na Mrusi? Je tuwabeze kwa kuhitimisha kuwa marekani atapigwa na Mrusi?
Acha uvivu katika kutumia akili hata kwa mambo madogo kiasi hiki!
ila kwenye meli hamuwezi kunishawishi.Ila Mkuu ukumbuke kuna ndege ya USA ambayo ilikuwa inatumiwa na Navy seals iliwahi kugonga ukuta wa nyumba na kuanguka kwa makosa ya pilot wakati Operation ya kummaliza bin laden ikiendelea baada ya mpambano navy seals wakailipua ili kulinda tecnolojia iliotumika kuunda ndege hiyo isiijulikane. Je hapa walikuwa wanavamia nyumba ya vyumba sita je ingekuwa ni warship?? Makosa yanafanyika kila mahali kwakuwa hakuna binadamu aliye kamilika .....