Meli ya mizigo yazama pwani ya

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Apr 17, 2009
3,517
1,360
Meli ya mizigo iliyoandikishwa nchini Panama mali ya kampuni ya meli ya Meditereanean iitwayo MSC CHITRA imezama na makontena 300 ya mizigo karibu na na bandari ya Jawahar Lal Nehru katika jiji la Mumbai huko India baada ya kugongana na meli nyingine ya mizigo iliyosajiliwa visiwa vya St. Kitts ijulikanayo kama MV Khalija II.

Hakuna mabaharia waliokufa katika ajali hiyo kwani walifanikiwa kuokolewa.



Associated Press:

capt.a7a2794a961e44c591e560e3c3c94caa-a7a2794a961e44c591e560e3c3c94caa-0.jpg


r2824444795.jpg





 
Mkuu asante kwa taarifa? Je ilikuwa inaelelekea nchi gani? Du mizigo hiyo! Tusikilizie! Maana kampeni ziko mbioni na prints za wagombea ni kibao toka India, China na Dubai. Nawaza mbali tu wakuu just in case kama ilikuwa inatia nanga DSM.
 
Back
Top Bottom