Meli ya kivita Moskva ya Russia imezama

Msongo wa mawazo...

1650059649508.png
 
Zele naona kaamua kuwa kambale! Putin ndevu na yeye Zele kaota ndevu anashindana na Babu yake....Putin haamini anachokiona,najaribu kuimagine vile anaona taarifa meli yake inateketekea sijui alikunywa mi Vodka mingapi kwa uchungu!
Duuuh, hivi Huwa mnachuja habari au mnameza tu kama mlivyozipata?
 
meme yangu ya kuwanyamazisha mashabiki wa US na vibaraka wao.

ukipost tu hiyo, huwa wanapoteana
😄😄😄 Uko sahihi kabisa,juzi kuna Uzi waliouanzisha Wana NATO nikapost hio picha,nikaona Gen. Secretary wao Bibi Nyamizi anasema huyu amekuja kuharibu mjadala.Nikaona Wana suggest waniblock nilifurahi mno maana najua dawa iliwaingia na hio meme hawaipendi mno 😄😄😄
 
Kwa hiyo tuseme hiyo meli ilikuwa haina mfumo wowote wa kujilinda?
Infact- Hii meli ilikuwa ina play multiple roles ikiwemo air defence cover pamoja na anti-ship missiles defences. Meli ilikuwa ina capacity ya kubeba 64 S-300 air defence missile system, hivyo ilikuwa ina-protect other russian assets kwenye black sea.
 
Teh teh naona unataka kukaunta hii hasara kubwa na aibu ya karne mliyoipata.
Hivi umefuatilia hiyo meli iliundwa na kuanza kutumika tangu mwaka gani?
Tanganyika ilikuwa imepata uhuru? Teknolojia ya zamani sana ilikuwa suala la muda tu isitishwe kutumika kwenye mstari wa mbele vitani.
 
Hivi umefuatilia hiyo meli iliundwa na kuanza kutumika tangu mwaka gani?
Tanganyika ilikuwa imepata uhuru? Teknolojia ya zamani sana ilikuwa suala la muda tu isitishwe kutumika kwenye mstari wa mbele vitani.
Mkuu hizi habari umepatia wapi? Ina umri unaolingana na Tanganyika? Ilitakiwa iwe decommissioned lini? Unajua ni mwaka jana tu ilikuwa upgraded with expensive latest weapons system?
 
Meli yenyewe hii hapa ikitema mizinga kuishambuliwa Ukraine kabla haijafanywa majivu
 
Back
Top Bottom