Meli ya kivita Moskva ya Russia imezama

Mbona tumeona meli za kimarekani zinashiriki vita nyingi lakini hakuna iliyozamishwa?
Vita hizo alipigana na nani?? Je, kulikuwepo na upelekwaji wa siraha na wataalamu wa kijishi kama anavyosaidiwa Ukraine?? Yote kwa yote, Russia will complete his operation na ndipo hapo mtakapo kuja kutambua mkubwa ni mkubwa tu. Kubwa lenu USA anajitahidi kwa nguvu kubwa sana kulazimisha dunia yote hiwe against Russia lakini anagonga mwamba. Endeleeni tu kupiga kelele lakini huko Ukraine kila siku watu maelfu kwa maelfu wanakimbia nchi kila siku.
 
Hivi meli kama hiyo inaweza ikawa inauzwa sh ngapi na mrusi hizo meli anazo ngapi
Kwa sababu haiwezeka mrusi akaicha meli kubwa hiyo ikalipuliwa kizembe hivyo.
Mambo ya Meli mwulize baharia Let mutuz. He is well informed on that. Hata quotations za Meli kama hizo anazo.
 
NEPTUNE
1650048725629.png

1650048773779.png
 
Hii hata putin angeiona angejua ni namna gani wabongo mnamchukulia poa
Ziko pia comment humu mkuu putin angeziona pia angejua namna gani wabongo hawamchukulii poa.

Muhimu tutizame hali inavyokwenda mkuu
 
Warusi watanganyika mbona siwaoni wamejificha wapi kwani?
Niliwahi kusema humu kuwa, hii tabia ya Zele kuomba misaada na watu kumpinga Urusi ni hali ya kujionesha kama yeye ni mnyonge, ili hata Russia naye amchukulie hivyo, na kweli Russia akaingia mkenge, akawa anapeleka majeshi yake kwa wingi na akapeleka mpaka meli yake bora kabisa ya kisasa ya vita, mwisho wa siku zinarudi maiti na upotevu wa vifaa.

Bado nafikiria mrusi huyuhuyu angeingia vitani na mfaransa au muingereza, hakika watu wangefika moscow mapema tu.
 
Mleta mada kama hautajali tuwekee na ule uzi ulokuwa unasema UK yaisaidia Ukraine Anti Ship Missiles.

Kwenye hii vita nimeanza kumuelewa UK, alipeleka Javelin, akaua misafara yote ya vifaru na magari ya Russia, sasa anazamisha meli.
kuna jamaa alisema vile vidude vya kinyamwez
 
Vita hizo alipigana na nani?? Je, kulikuwepo na upelekwaji wa siraha na wataalamu wa kijishi kama anavyosaidiwa Ukraine?? Yote kwa yote, Russia will complete his operation na ndipo hapo mtakapo kuja kutambua mkubwa ni mkubwa tu. Kubwa lenu USA anajitahidi kwa nguvu kubwa sana kulazimisha dunia yote hiwe against Russia lakini anagonga mwamba. Endeleeni tu kupiga kelele lakini huko Ukraine kila siku watu maelfu kwa maelfu wanakimbia nchi kila siku.
Teh teh teh kwa hiyo dhumuni la hiyo vita ni kuhamisha watu maelfu kwa maelfu?
 
Niliwahi kusema humu kuwa, hii tabia ya Zele kuomba misaada na watu kumpinga Urusi ni hali ya kujionesha kama yeye ni mnyonge, ili hata Russia naye amchukulie hivyo, na kweli Russia akaingia mkenge, akawa anapeleka majeshi yake kwa wingi na akapeleka mpaka meli yake bora kabisa ya kisasa ya vita, mwisho wa siku zinarudi maiti na upotevu wa vifaa.

Bado nafikiria mrusi huyuhuyu angeingia vitani na mfaransa au muingereza, hakika watu wangefika moscow mapema tu.
Zele naona kaamua kuwa kambale! Putin ndevu na yeye Zele kaota ndevu anashindana na Babu yake....Putin haamini anachokiona,najaribu kuimagine vile anaona taarifa meli yake inateketekea sijui alikunywa mi Vodka mingapi kwa uchungu!
 
Back
Top Bottom