Meli ya kivita Moskva ya Russia imezama

kingine alisema kabomoa military capacity ya Ukraine kwa kubomoa vituo vya kijeshi vyote vya Ukraine

Ukraine kamtokea na kombora lake mwenyewe alilotengeneza Ukraine la Neptune kabomoa meli yenye nguvu kupindukia ya Urusi

Hiyo military capability anayojitia mrusi wamebomoa yote Ukraine na mission part one accomplished ni ipi? Part two inaanza tu Ukraine kwa kutumia silaha yao toka ghala zao Ukraine wamembomoa ngumi ya uso Putini

Putin hii vita mpaka atalia na kuitoa maji mma
FSB wako overrated sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitendo cha PM wa England Boris Johnson kuwepo Kyiv na akatembea mitaani wakati vita hii ikirindima kinaonesha Russia si tishio kihivyo .
Na bado tathmini ya wanaulinzi wa USA ikamruhusu Biden akaja hapo Poland.
Russia alishasema hataki kupiga political class pale Kyiv kazi anayofanya ni ku delimitalize sijui mnaelewa nyinyi
 
Mkuu mifumo ya aina hiyo haina uwezo wa kuilinda meli kwa sababu makombora ya kushambulia meli huwa yana shambulia kwa kimo cha chini sana.
Mbona tumeona meli za kimarekani zinashiriki vita nyingi lakini hakuna iliyozamishwa?
 
Mkuu mifumo ya aina hiyo haina uwezo wa kuilinda meli kwa sababu makombora ya kushambulia meli huwa yana shambulia kwa kimo cha chini sana.
Kwa hiyo Russia hakulijua hilo kuwa kuna low flying missile?
 
Mzigo wa billions una angamizwa na kifaa cha laki dharau hizi
Kifaa Cha Laki? Acha utani bro. Meli hiyo imeangamizwa na NEPTUNE ANTI-SHIP MISSILE SYSTEM. Usifikilie hiyo ni Siraha ya kuweka Begani Kama JAVERINE na STINGER MISSILES. Hilo ni VEHICLE LUNCHED MISSILE ambalo Kombola lenyewe TU Lina Uzito wa 900Kg,Urefu wa 5.7 metres na 0.5 Metres Kipenyo. Kwahiyo sio Kombora la kurushwa Begani Kama zile Anti-Tanks na Anti-Aircraft Missiles.
 
Back
Top Bottom