Msisahau kuwaambia ule mlima upo Kenya, sema wakiuliza upo wapi, waambieni mmewaazima wabomgo wapigenao selfie kwa muda.
Msisahau kuwaambia ule mlima upo Kenya, sema wakiuliza upo wapi, waambieni mmewaazima wabomgo wapigenao selfie kwa muda.
Hilo hatutakawia kuwatafuna hela kwa kuwaambia waende wakauone. Kwanza hawa hawatakua na haja ya kuukwea, hivyo tunawapeleka maeneo ya karibu karibu na kuwaonyesha mlima halafu tunapiga hela, kisha wanageuza na kurudi kwenye meli.
Waambie tunawapeleka Amboseli National Park wafanye hivi.
View attachment 443343
Duh, wakenya mambo yenu ni wizi wizi na kuunga unga tuu, Mungu ana waona lakini. Chakuchekesha ni jinsi mnavyo shindwa kukichukuwa kisiwa cha Migiro kutoka kwa waganda.
Naona mtalii kajiachiaaaa kuangalia mlima k'njaro akiamini upo Kenya,ni muda ndo utaosema kweli Mzee wetu anamalizia kununua dreamliner ya kuwafata watalii walipo akimaliza hapo anakuja kujenga na ukuta hukohuko mpakani huo mlima usionekane upande wa huko Kenya wakija sasa hao watalii mtawaelekeza k'njaro ilipo,hatutaki ujinga.Waambie tunawapeleka Amboseli National Park wafanye hivi.
View attachment 443343
Naona mtalii kajiachiaaaa kuangalia mlima k'njaro akiamini upon Kenya,ni muda ndo utaosema kweli Mzee wetu anamalizia kununua dreamliner ya kuwafata watalii walipo akimaliza hapo anakuja kujenga na ukuta hukohuko mpakani huo mlima usionekane upande wa huko Kenya wakija sasa halo watalii mtawaelekeza k'njaro ilipo,hatutaki ujinga.
Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia
Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani
Picha kali vibaya mnoWaambie tunawapeleka Amboseli National Park wafanye hivi.
View attachment 443343
... Sasa kumwambia atupe kinachojiri... wewe unapanic nini..!?Niambie ni nchi gani duniani haijawahi kuwa na mgomo ya madaktari???
KWS waongo sana, walitwambia ukiwa Park ya Shimba hill mlima Kilimanjaro unauona vizuri. Basi tulipofika wakaanza kuweka sababu za mawingu eti ndo yameuziba.
... Sasa kumwambia atupe kinachojiri... wewe unapanic nini..!?
Wakenya bhana wapenda kujifariji na huu mlima Kilimanjaro.. Mwaka ni wenu katika sekta ya utalii..!