Meli ya kifahari yawasili Kenya na watalii

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,523
47,762
1468857.jpg


A cruise ship, MS Silver Cloud, at the port of Mombasa on December 6, 2016. /CALVN ONSARIGO

Tourism sector got a boost after arrival of a cruise ship, MS Silver Cloud, at the port of Mombasa on Tuesday morning.

The vessel from Seychelles arrived in Mombasa with 438 people on board, 216 tourists and 222 crew members.

Kenya Tourism Board said they expect more ships to be calling at the Mombasa port until January.

KTB Assistance manage corporate communication Kimutai Ngeno said the sector has recorded an increase of cruise tourism this year compared to the previous years.

He said the calling of the cruise ships is sign of confidence for the destination owing to improved security in the Indian Ocean.

Last year, the country attracted more than 3,000 cruise tourists, compared with 900 in 2014.

Upon arrival, some tourists traveled to the Shimba Hills Game Reserve and the Mwalughanje Elephant Sanctuary for game drives.

Kenya’s tourist arrivals increase by 14 per cent
 
Msisahau kuwaambia ule mlima upo Kenya, sema wakiuliza upo wapi, waambieni mmewaazima wabomgo wapigenao selfie kwa muda.

Hilo hatutakawia kuwatafuna hela kwa kuwaambia waende wakauone. Kwanza hawa hawatakua na haja ya kuukwea, hivyo tunawapeleka maeneo ya karibu karibu na kuwaonyesha mlima halafu tunapiga hela, kisha wanageuza na kurudi kwenye meli.
 
Msisahau kuwaambia ule mlima upo Kenya, sema wakiuliza upo wapi, waambieni mmewaazima wabomgo wapigenao selfie kwa muda.

Hahaha.... Wakati wowote nikitoka Mombasa kwenda Nairobi... naambiwa, "On your left is the highest mountain in the continent".... Hapo sijaambiwa the highest in Tz. So in my imagination najua juu niko ndani ya KQ then lazima rasli mali nayoonyeshwa ni ya Kenya.....Na ujue wakti huo kuna wazungu wanotoka Netherlands, Germany, UK, France, Spain, Portugal, Ireland, Norway, Denmark... Wote wanafikiria vile navyofikiria Don't worry... That's what they call cut throat competition.
 
Duh, wakenya mambo yenu ni wizi wizi na kuunga unga tuu, Mungu ana waona lakini. Chakuchekesha ni jinsi mnavyo shindwa kukichukuwa kisiwa cha Migiro kutoka kwa waganda.
 
Duh, wakenya mambo yenu ni wizi wizi na kuunga unga tuu, Mungu ana waona lakini. Chakuchekesha ni jinsi mnavyo shindwa kukichukuwa kisiwa cha Migiro kutoka kwa waganda.

Hahahaha... Wivuuu... Hiyo inakumaliza.Hakuna kitu kinachoitwa Migiro Duniani. Nenda darasani tena..... Nyie ndo mnataka kuwaibia Wamalawi ziwa... nyie... mwizi ni nani sasa.... Mungu anawaona
 
Waambie tunawapeleka Amboseli National Park wafanye hivi.
View attachment 443343
Naona mtalii kajiachiaaaa kuangalia mlima k'njaro akiamini upo Kenya,ni muda ndo utaosema kweli Mzee wetu anamalizia kununua dreamliner ya kuwafata watalii walipo akimaliza hapo anakuja kujenga na ukuta hukohuko mpakani huo mlima usionekane upande wa huko Kenya wakija sasa hao watalii mtawaelekeza k'njaro ilipo,hatutaki ujinga.
 
Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia

Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani
 
Naona mtalii kajiachiaaaa kuangalia mlima k'njaro akiamini upon Kenya,ni muda ndo utaosema kweli Mzee wetu anamalizia kununua dreamliner ya kuwafata watalii walipo akimaliza hapo anakuja kujenga na ukuta hukohuko mpakani huo mlima usionekane upande wa huko Kenya wakija sasa halo watalii mtawaelekeza k'njaro ilipo,hatutaki ujinga.

Tihahahhaaaaa... You made my morning. Enyewe Dangayika haitaki ujinga
 
Haya tumejua tusiyoyajua... usisahau Update mgomo wa Madaktari, sio mambo mazuri tu hata yanayohuzunisha pia

Kwavile ni katika maisha tunapitia hapa duniani

Niambie ni nchi gani duniani haijawahi kuwa na mgomo ya madaktari???
 
KWS waongo sana, walitwambia ukiwa Park ya Shimba hill mlima Kilimanjaro unauona vizuri. Basi tulipofika wakaanza kuweka sababu za mawingu eti ndo yameuziba.

Yeah that is true.. Many times because of cloud cover it's not possible ti see it but on a cloudless day you might just be lucky....
17-Amboseli-National-Park.jpg
 
Wakenya bhana wapenda kujifariji na huu mlima Kilimanjaro.. Mwaka ni wenu katika sekta ya utalii..!
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom