Kwakuwa 'unasikia' endelea hivyo hivyo kusikia.Ukipata uhakika basi leta hapa.Mbona nasikia Iran yeye kakamata 2 kulipa kisasi nadhani itakua ni uwongo
Hushangai Iran,China na Venezuela kumwacha solemba Russiahapo west watakuwa wamepiga goti kwa iran na kuisaliti israel ambayo huwa inapinga iran kuondolewa vikwazo
Kama Uesi ei alivyomuacha solemba GUAIDO kule VENEZUELA!!?Hushangai Iran,China na Venezuela kumwacha solemba Russia
nishangae nini wakati hizo inchi ndio soko la urusi hizo inchi zinabid zipate pesa nyingi ili ziagize bidhaa kwa wing kutoka urusi kama vile venezuela kilakitu inanunua kutoka urusiHushangai Iran,China na Venezuela kumwacha solemba Russia
Kwi kwi kwi, wamejionea ni ujinga kuendelea kujihusisha na maskini,hamna cha maana wanachoambulia zaidi ya kuwa maskini zaidi.Siku zote unakaa karibu na waridi ili unukie.Maskini kwa maskini nani atamsaidia mwenzienishangae nini wakati hizo inchi ndio soko la urusi hizo inchi zinabid zipate pesa nyingi ili ziagize bidhaa kwa wing kutoka urusi kama vile venezuela kilakitu inanunua kutoka urusi
Ha ha ha ha ha
nani maskini kwanza? Unajua maduro alitaka kutolewa na usa mwaka 2017 but sababu ya mrusi paka leo jamaa bado anadunda na wamarekani wamesha mpigia magoti na venezuela imesema itauza mafuta kwa rubaaaaaaKwi kwi kwi, wamejionea ni ujinga kuendelea kujihusisha na maskini,hamna cha maana wanachoambulia zaidi ya kuwa maskini zaidi.Siku zote unakaa karibu na waridi ili unukie.Maskini kwa maskini nani atamsaidia mwenzie
Tatizo lako ni hapo tu kwenye kuweka chumvi nyinginani maskini kwanza? Unajua maduro alitaka kutolewa na usa mwaka 2017 but sababu ya mrusi paka leo jamaa bado anadunda na wamarekani wamesha mpigia magoti na venezuela imesema itauza mafuta kwa rubaaaaaa


IRAN Jana imeteka meli mbili za mafuta za ugiriki kama kulipiza kisasi.Majibu yanakuja soon
Iran ajaribu kuziba hiyo njia safari hii ndio atajua tomahawk missile zina utamu gani.Mtakacho fanya mtafanyiwa mara 2
80% of European oil is supplied from the Middle East and those oils must cross the Strait of Hormuz. The Strait of Hormuz is according to our territorial water laws. If the infiltrators do not go to Europe from here, will your friend America be able to supply European oil?
Kawaulize viongozi wa nchi yako.Kapigw vikwazo na nani kwani mmarekani ni nani hapa duniani.....
Azibe hiyo njia kwa maslahi yapi sasa?Iran ajaribu kuziba hiyo njia safari hii ndio atajua tomahawk missile zina utamu gani.
US paper TigerIran ajaribu kuziba hiyo njia safari hii ndio atajua tomahawk missile zina utamu gani.



Urusi ni Supapawa wa makaratasi anaetolewa jasho la kwapa na ka nchi kadogo ka Ukraine.
UKRAINE anatiwa adabu mbele yashangazi zakeUrusi ni Supapawa wa makaratasi anaetolewa jasho la kwapa na ka nchi kadogo ka Ukraine.



Supapawa jasho la kwapa linamwagika,Kremlin hakukaliki tena.Kiumbe mfupi mzito halali na hivi afya yake ni mgogolo sasa.




kuna taifa TEULE moja wengine tunapitia humo kwa Neema tu!