3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,018
bora huyo anaekwiba mafuta kuliko ngano na washing machineMarekani anajitia aibu. Mwizi wa mafuta baharini
bora huyo anaekwiba mafuta kuliko ngano na washing machineMarekani anajitia aibu. Mwizi wa mafuta baharini
... na hakuna wa kumfanya kitu; hata kikwazo cha kuuza pipi hawawezi muwekea!Alafu anapeleka kwake![]()
Taari kakamata meli 2 sasaivi zilikua zinapeoeka mafuta MarekaniIran tunasubiri majibu
Nalog off Z




Za chini chini ni kwamba nae iran kakamata meli mbili za kigiriki, moja ilikuwa inaelekea marekani.Iran hawajawahi kuniangusha soon utaisikia jibu lake, bahati mbaya zaidi lango bahati la Hormuz lipo Iran meli zote zinapiyia hapo.
Za chini chini ni kwamba nae iran kakamata meli mbili za kigiriki, moja ilikuwa inaelekea marekani.



wanakimbia uzi wao wenyewe kmmke 


sio kukimbia wanafungua id zao nyinginewanakimbia uzi wao wenyewe kmmke
Em mmoja awatag plz maana![]()
sio kukimbia wanafungua id zao nyingine

Tayari MKUU washafanya yao huko zamani sanaaMajibu yanakuja soon
Kwan katajwa RUSSIA hapoUnaongea kinyonge,tatizo lenu Pro Russia mnadhani vita inapiganwa hapa JF kwa maneno,huwa mkijiona mnacomment non stop na kujaza thread za uongo na kweli nafsi zenu zinaridhika kabisa kuwa Russia anashinda hii vita.





Uzi wao wenyewe wanaukimbia



Mkuu Umepata habari? Iram imeshalipa kwa kukamata meli 2 ya Ugiriki ambao ndo walikama meli yao kwenda kuwapa US. Na wameambiwa wakifanya masihara meli zote zilizobaki yaani 15 nazo watazikamata.kapigwa sanction asiuze mafuta yake anajifanya kiburi wacha wamuoneshe who is superpower
Mna frustrations na hii vita kiasi kwamba njia pekee ya kuwafanya mjisikie vizuri ni kucoment non stop na kuanzisha vijimada visivyokuwa na kichwa wala miguuUzi wao wenyewe wanaukimbia![]()

.Mpaka kufikia Decembet mtakuwa mmepasua na simu zenu kwa hasira za kushindwa kwa Putin.Tupo mwezi wa nne sasa nawakumbusha .Kusanyeni nguvu za ku comment maana ndiyo kwanza mambo ni kama yanaanza.Mbona uzi hauna uhusiano na Urusi?Unaongea kinyonge,tatizo lenu Pro Russia mnadhani vita inapiganwa hapa JF kwa maneno,huwa mkijiona mnacomment non stop na kujaza thread za uongo na kweli nafsi zenu zinaridhika kabisa kuwa Russia anashinda hii vita.
IRAN taifa TEULE ya wapi