Meli inayopeperusha bendera ya Tanzania yakamatwa Ugiriki ikiwa na Silaha, Vifaa vya Milipuko

Kunani na hizi meli zinazopeperusha bendera yetu!?

Hakuna mamlaka husika ya kutujuza au mpaka wakanate kumi ndio watatutaarifu nini haswa kinaendelea? Pia hizo meli inakuwaje!!!.. nani anataka ichafua nchi yetu?
Unammuliza nani..
Muulize babaJeska
 
This is a clear sign that something negative is happening in our shipping industry ...
Wepesi na ufanisi unahitajika kwenye kutatua hili la meli zilizokamatwa zenye mizigo hatarishi alafu our national flag ikiwa inapeperushwa na hizo meli nchi za wengine
Hatua hizi za kuchukua kimyakimya nazo zina madhara yake ya either unafunika kombe mwanaharamu apite au unamlinda mwenye mzigo! Mawaziri husika waitishe press conference kusafisha hali hii na kuwa wazi juu ya hatua watakazozichukua au walizokwisha kuzichukua. Ipo siku meli za mafuta na bidhaa nyingine zitazuiliwa kutia nanga hapa kwetu kwa hofu ya kupakia au kupakua mizigo ya hatari na nchi ikapata uhaba wa bidhaa usiokuwa wa lazima!
 
Back
Top Bottom