Melanin Beauty!!

Ndio nini ndugu
Melanini ni jina la pigmenti katika ngozi ya juu zinazofanya ngozi kuwa na rangi asilia fulani. Inapatikana pia katika nywele na sehemu za jicho.

Kazi ya melanini inaaminiwa kupunguza athira ya mnururisho wa urujuanimno (ing.ultraviolet) katika nuru ya jua. Watu wenye melanini nyingi yaani rangi nyeusi-nyeusi huathiriwa mara chache na kansa ya ngozikuliko watu wenye rangi nyeupe-nyeupe. Hii ni sababu ya kwamba katika mazingira penye nuru kali zaidi (kama karibu na ikweta) mara nyingi watu huwa na melanini nyingi hivyo rangi nyeusi-nyesi kuliko watu katika mazingira penye nuru hafifu zaidi.

Ukosefu wa melanini husababisha mtu kuwa albino.
 
Ha ha mkuu saka noti
Daah hii picture ya mwisho ...... daahh .. ndio maana nataka kuwa millionear ...mambo mazuri kama haya kuendelea kunipiga chenga sio fair kabisa yaani .......
 
.....Kuna mademu wazuri ,aise majamaa wanaokula apo big up sana
Daah wee acha tu mkuu ----, the way dunia ilivyo kuwa haina usawa waweza kukuta eti hao nao mapenzi yana wachanganya ' kuna mahali wamependa lakini walio wapenda hawa wapendi !!!!!
 
Daah hii picture ya mwisho ...... daahh .. ndio maana nataka kuwa millionear ...mambo mazuri kama haya kuendelea kunipiga chenga sio fair kabisa yaani .......
Mkuu sikuoni kwenye jukwa letu pendwa unataka kuwa tajiri upate hivyo vyombo hongera wacha wengine tuwe munuwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…