man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Hahahaha JF bana, imekata miaka 7 ndio unajibu.Ulimpata? Huyu mwamba aliwahi kuwa bosi wangu
Hahaha [emoji3][emoji3], mkuu, sikuona huu uzi miaka hiyoHahahaha jf bana, imekata miaka 7 ndio unajibu.
Ni kweli, ni cheo adimu ambacho ni wale wenye bahati tu ndio hukifikia. If you are not that luck, hardly utaishia kuwa Meja JeneraliAmeondoka jeshini akiwa Luteni jenerali cheo ambacho ni cha kujivunia sana mno ni ngumu kukuta Maluteni jenerali waliopo hai wakafika 15 hata ukijumlisha na waliostaafu
Makao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.Uliza Makao Makuu ya Jeshi ndio Wana taarifa wapi aliko Jenerali
Huyu mwamba ameshaondoka duniani?
Where about?where bout mzeeMakao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.
Akiisha kustaafu, faili lake hufungwa, madai na stahiki zingine zimhusuzo husukumiziwa hazina na habari ya mtumishi huyo kuishia hapo.
Sasa je huyo mzee bado ni active staff?
Kama ndivyo sivyo, basi ajitahidi kupata wanajeshi wenye vyeo vya kulingana na huyo mzee, pia alocate sehemu aliyokuwa akifanyia kazi, anaweza kupata watu wanaomfahamu na kupata mwanga pa kuanzia.
Vinginevyo ni ngumu sana kupata where about zake, maana wanajeshi kufahamiana mpaka muwe na ukaribu wa kieneo, makundi ama kama walipata mafunzo mahali fulani wakiwa pamoja katika utumishi nk nk.
Na hata wakitupwa vitani hufahamiana kwa pass word na formation lakini si kwa kutegemea sura ama jina.
Pouwaa lugha zilizoletwa na meli hizi! Wee acha tuu.Where about?where bout mzee
Kaka una usaka MBANGA[emoji12][emoji12]Habari zenu wapendwa
Mwenye mawasiliano ya huyu mzee wangu naomba anisaidie, nawasilisha ombi langu kwa heshima zote.
Salaam kutoka Tarime, Mara.
Kwa mfano akahitajika kiofisi, wanampataje?Makao makuu ya jeshi wanazo taarifa za mtumishi aliyeko kazini hajastaafu.