Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,414
- 154,795
Hashim Mbita alivyokuwa Ikulu, Nyerere alijiweka kimbelembele kutembea kwa miguu kuunga mkono Azimio la Arusha.Siku hizi ma Meja General wa kawaida sana
Enzi zile ukiskia Meja General Muhidin Kimario lazima usikie Matukio ya Kijasiri jasiri aliyofanya SIJUI Israel,sijui Uganda sijui Mozambique,
Siku hizi ukiulizia sifa Special za Maluten General na Ma Major General utaskia 'Mwaminifu sana na Muadilifu'
Akina Hashim Mbita ukiulizia habari zao utaskia Umafia waliofanya Shelisheli kuzima Mapinduzi ya Kijeshi na kumrudisha Kibabe Rais madarakan na kuteka kundi zima la Wana Mapinduzi
Jwtz ilikuwa Jwtz kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi Hashim Mbita alimpelekesha mpaka Nyerere, mtu ambaye alizoea kuwapelekesha wenzake kwenye kutembea, akaomba poo.
Hashim Mbita alikuwa ni kiungo muhimu sana katika kuongoza Kamati ya Ukombizi Kusini mwa Afrika. Mandela alivyokuja alisema nataka kumuona huyu mtu Hashim Mbita nimesikia sana kazi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app