Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Kuna wakati najiuliza kama Lema - shemeji yangu, anatamaani tupambane ili atoke jela au ili Tanzania ipate kuheshimu katiba, uhuru wa kujieleza na demokrasia.
Ukawa tunapambana, na mimi napambana!
Napambana ili Tanzania ifunge mianya ya wehu kama kufuli kutuongoza.
Napambana ili haki ya CUF Zanzibar irejeshwe.
Napambana ili CCM itoke madarakani.
Napambana ili serikali Tanzania iwe na umaana. Tuache kuwa na viongozi wanao wanyonya waathirika kama wa kagera kisha kuwadhihaki!
Chelsea ilipopigwa na Tot jana goli mbili, kama mpenzi wa Liverpool nilifarijika!
Napambana ili kila Mtanzania awe na yale mahitaji matano ya msingi!
Napambana kulinda wapambanaji wenzangu kama Ben Saanane.
Napambana ili nizidi mafanikio ya General MacArthur wa USA.
Napambana ili vyama vya ushirika viwe na nguvu zaidi, watu wengi zaidi na vidhihirishe maana halisi ya Ushirika.
Napambana Magufuli ang'ooke madarakani 2020!
Maana ya ushindi ni kushinda vyote, asante General MacArthur!
Napambana ili tupate katiba mpya - ile ambayo njaa ya Polepole imeikana.
Napambana nikiwa CHADEMA na nnapambana kweli!
Kamanda Mbowe tumechoka kuwa wapinzani, 2020 tuangalie ushindi, amani ya Tanzania tumuachie Mungu! Tufanye wajibu wetu, tusiingilie wajibu wa Mungu!
Mtanzania mwenzangu, unapigania nini?