Wanajf, ninayofuraha kubwa BECAUSE I AM ATTENDING SIGNIFICANT OTHER pia napenda
kuwajurisha kuwa kuna pendekezo la
maazimisho ya Siku ya wafanyakazi maarufu kwa jina la MEI MOSI kuwa yatafanyika Mkoani MBEYA.
Je yapi maoni yako kuhusu ujio wa Mei mosi 2019?
Mimi ningependa wayalete sirari border tule bata mpakani.
MGENI rasmi anatarajiwa kuwa JPM, sijui ataenda au atakuwa Urusi kipindi hicho.
Sent using
Jamii Forums mobile app