TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 May 1, 2015 Thread starter #21 wakimataifa said: tanzania kuna vichaa ambao hawajielewi kila siku ni kuitukana serikali Click to expand... Pia Tanzania kuna wehu ambao kila siku wao kuukataa ukweli na kukumbatia uongo
wakimataifa said: tanzania kuna vichaa ambao hawajielewi kila siku ni kuitukana serikali Click to expand... Pia Tanzania kuna wehu ambao kila siku wao kuukataa ukweli na kukumbatia uongo
M MPAMBWE Senior Member Joined Apr 4, 2015 Posts 137 Reaction score 29 May 1, 2015 #22 Nchi hii ina WAFANYIWA KAZI na WAFANYA KAZI mimi ningependa nijue siku hii ni maalum kwa kundi lipi?
TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 May 1, 2015 Thread starter #23 MPAMBWE said: Nchi hii ina WAFANYIWA KAZI na WAFANYA KAZI mimi ningependa nijue siku hii ni maalum kwa kundi lipi? Click to expand... Ni siku ya wafanyiwa kazi kuwalamba visogo wafanyakazi
MPAMBWE said: Nchi hii ina WAFANYIWA KAZI na WAFANYA KAZI mimi ningependa nijue siku hii ni maalum kwa kundi lipi? Click to expand... Ni siku ya wafanyiwa kazi kuwalamba visogo wafanyakazi
MFIZIGO JF-Expert Member Joined Sep 30, 2014 Posts 374 Reaction score 233 May 1, 2015 #24 DuppyConqueror said: So long as mmekumbatia mfumo wa kibepari, working class lazima muendelee kuwa watumwa. Na ndo maana ACT inakuja na majibu sahihi ya kilio chako. Click to expand... ACT inakuja wapi? ikitokea wapi? kwani nini tofauti ya ACT na hawa walio madarakani?
DuppyConqueror said: So long as mmekumbatia mfumo wa kibepari, working class lazima muendelee kuwa watumwa. Na ndo maana ACT inakuja na majibu sahihi ya kilio chako. Click to expand... ACT inakuja wapi? ikitokea wapi? kwani nini tofauti ya ACT na hawa walio madarakani?
TAWA JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 3,674 Reaction score 1,572 May 1, 2015 Thread starter #25 MFIZIGO said: ACT inakuja wapi? ikitokea wapi? kwani nini tofauti ya ACT na hawa walio madarakani? Click to expand... Humu ndani katika hii thread sitak upuuzi wa zzk na kikundi chake
MFIZIGO said: ACT inakuja wapi? ikitokea wapi? kwani nini tofauti ya ACT na hawa walio madarakani? Click to expand... Humu ndani katika hii thread sitak upuuzi wa zzk na kikundi chake
S songera JF-Expert Member Joined Dec 29, 2014 Posts 1,302 Reaction score 510 May 1, 2015 #26 Na ww sema kikundi ulichopo