Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

Wafanyakazi Wa serikali acheni kujipendekeza kwa magufuli, sasa Leo aibu gani hii jamani?? Haoni kabisa umuhimu Wa kuwaongezea mshahara.
 
Ndo hiyo!
Kaa usubiri,hatoki huyu mpaka aamue mwenyewe!
Tuna mfumo wa hovyo sana katika mambo haya,akiingia mtu hadhibitiki hata angekuwa mbaya kiasi gani,yeye ndo anawadhibiti woteee!!!
 
Hivi KUKOSOA huwa mnamaanisha nini?? Humu mitandaoni mko bize kukosoa, Zitto yuko bize kukosoa kila kukicha.
 
Waache kazi kama pesa haitoshi, wajinga Sana watumishi hivi anajua wakulima na wafanyabiashara wanaoendesha nchi hii wanahali gani
unJua kodi inayokatwa kwenye mshahara wa kawaida wa mtuishi?? wanaita PE
 
unJua kodi inayokatwa kwenye mshahara wa kawaida wa mtuishi?? wanaita PE
Kampuni za madini ndizo zilizokuwa zinachangia Sana PAYe, sio mamluki wa serikali, Leo amewapa dawa yenu Iringa wengi ni wavivu wapiga Story
 
Nawaambia kila siku, watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana.
 
Raisi wangu Magufuli juhudi zako za kushikilia hapo hapo zinaanza kuzaa matunda ongeza kasi zaidi.
 
Tukileta mandege mengi tutapata mahera tutapandisha mamishahara...Sitawaangusha maana nitapandisha kwerikweri...Subirini mandege yajae angani kwanza! Kupanga ni kuchagua.
Ujinga ujinga tu,ondoeni CCM ninyi watanzania hata kw kumwaga damu.Ndo chanzo cha hayo yote.

Poleni watumishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…