Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,278
- 44,414
yani tigo bana hadi tarifa tuzipate toka jf ok wacha tuingie mzigoninimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2.
Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu.
Kwa alie interested ambaye hajapata taarifa habari ndo hii.
Kujiunga andika neno MEGABOKSI kwenda 15166
Pande zp izo mkuu?
bahati mbaya kwangu haina speed yakutisha
yani tigo bana hadi tarifa tuzipate toka jf ok wacha tuingie mzigoni
Dah hii kitu sio unlimited wakuu. au ni kwangu tu?? baada ya kudownload mizigo kadhaa wakantumia ujumbe kwamba nmemalza kifurushi kwa ajili ya kudownload, kilichobaki ni kwa kusurf tu... wengine niaje wakuu?
umedownlod mb ngap? Maana mi nimeshusha nyingi sjapata msg yoyote.
Pande zp izo mkuu?
mimi nilijiunga kwenye saa 7 mchana waaki nikiwa na mb 50 za extreme,nikakonect mb50 za extreme zilipoisha haikukonect tena,sijui kutakuwa na tatizo gani!
mie nilijiunga na baada ya saa 2 wakasema kifurushi kimeisha....hakuna cha ulimited wala nini....uongo mtupu
uliandika neno megaboksi? Na ulihakikisha sh 500 imekatwa kwenye salio?
nimeona tigo assubuhi wamentumia message asubuhi kwa shilingi 500 unapata internet unlimited kwa siku 2.
Nimeunga nkajaribu kudownload kitu kikubwa imedownload kwa speed nzuri tu.
Kwa alie interested ambaye hajapata taarifa habari ndo hii.
Kujiunga andika neno MEGABOKSI kwenda 15166
mkuu asante kwa kuileta hii kitu- bado inapiga mzigo tokea jana.wakikutumia msg kwamba umemaliza bundle,we disconnect then connect upya