Kama sh. ngap ndugu?Duh, muhimu sana mototochini, before it's too late,
Kule maeneo ya kizota viwanja vipo kwa bai nafuu kiaina
Mchikichini sehemu gan mkuu? Sijawah lionaHili kaka linajengwa Ilala
Unaweza liita Mchikichini
Au
ilala municipal tower.
Lina vipengere fulani
Labda nikuwekee hapa usome