Mega events kufanyikia Tanzania

Mega events kufanyikia Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,163
Reaction score
6,172
Nikiwa Rais katika mambo ambayo ntafanya ni kutengeneza miundombinu ambayo itarahisisha mega-events kufanyikia Tanzania

Mfano wa hizo mega-events ni kama
  1. FIFA WORLD CUP- Maboresho makubwa sana yatafanyika kwenye viwanja vya kisasa na vile vya mazoezi
  2. OLYMPIC-Huku miaka ya mbeleni tutahost haya mashindano
  3. DIAMOND LEAGUE- haya yatakuwa yanafanyika kila mwaka
  4. KILIMANJARO MARATHON- hii ntaifanya kuwa world-class kwa kuboresha miundombinu ya mji wa moshi yanakofanyikia na kuwa mji wa kisasa
  5. FORMULA ONE
  6. WORLD FAIRS (EXPRO)
  7. MULTIPURPOSE ARENA ZA KISASA-hii itavutia mikutano mingi ya kimataifa kufanyikia hapa Tanzania
  8. HOTEL-Kama nchi tutahakikisha tunakuwa na hotel za kuweza kubeba watu million 30 kwa mara moja hii inawezekana kukiwa na mipango ya mda mfupi na mirefu
  9. KUIFANYA LIGI YETU YA MPIRA NA KUWA WORLD-CLASS

Faid za mega-events kwa nchi ya Tanzania
  • Kuongeza wigo wa mapato
  • Kuongeza ajira
  • Kuitangaza nchi
Kama unataka kujua mipango yangu na njia ntakayotumia kuwa Rais wa Tanzania nimeelezea kwenye huu uzi hapa

anza kwanza na kuimarisha DEMOKRASIA kwani ndio mama wa yote!
 
Back
Top Bottom