Medical Laboratory vs Clinical Medicine

Medical Laboratory vs Clinical Medicine

ankoekka

Member
Joined
Jul 23, 2016
Posts
85
Reaction score
21
Wakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda Clinical Medicine. Niende kozi hiyo niliyopangwa au niombe kubadilishiwa? Asante.
 
Nenda kasome hiyo ni nzuri na ni rahisi kujiajiri tofauti na Clinical medicine kujiajiri lazima udhaminiwe na daktari(MD) ambapo ni ngumu kumpata bila malipo makubwa sana.Pia kozi ya clinical medicine imewekewa urasimu mwingi kiasi kwamba kupata gpa ya 3.5 ili upate sifa ya kujiunga MD ni sawa na taifa stars kuingia nusu fainali ya world cup.
 
duh ivi medical lab technology ina maslah fresh au?
 
Nenda kasome hiyo ni nzuri na ni rahisi kujiajiri tofauti na Clinical medicine kujiajiri lazima udhaminiwe na daktari(MD) ambapo ni ngumu kumpata bila malipo makubwa sana.Pia kozi ya clinical medicine imewekewa urasimu mwingi kiasi kwamba kupata gpa ya 3.5 ili upate sifa ya kujiunga MD ni sawa na taifa stars kuingia nusu fainali ya world cup.
hahaha taifa stars ktinga sem final
 
Nenda hiyo medical laboratory. Kujiajiri, kuajiriwa vyote ni rahisi. Pia kujiendeleza kwa level nyengine ni rahisi, achana na clinical medicine au ulitaka tu kuitwa dokta?
 
Asante, kujiendeleza kwa advanced au degree ya Medical Laboratory ?
 
Nenda kasome hiyo ni nzuri na ni rahisi kujiajiri tofauti na Clinical medicine kujiajiri lazima udhaminiwe na daktari(MD) ambapo ni ngumu kumpata bila malipo makubwa sana.Pia kozi ya clinical medicine imewekewa urasimu mwingi kiasi kwamba kupata gpa ya 3.5 ili upate sifa ya kujiunga MD ni sawa na taifa stars kuingia nusu fainali ya world cup.
Teh teh teh umetshaa
 
Wakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda Clinical Medicine. Niende kozi hiyo niliyopangwa au niombe kubadilishiwa? Asante.
Swali nzur medical lab IPO poa zaidi mzee
Wakuu, Niombe ushauri wenu kuhusiana na kozi ipi yafaa Kati ya Medical Laboratory na Clinical Medicine ngazi ya diploma. Niliomba NACTE wamenipeleka Medical Laboratory ilihali mi nilipenda Clinical Medicine. Niende kozi hiyo niliyopangwa au niombe kubadilishiwa? Asante.
 
anayekijua chuo cha rubya health institute and allied science
 
Back
Top Bottom