Habar wakuu,
Natumai mko poa sana
Kama kichwa cha habar hapo juu, naomba connection ya nafasi ya ajira ya medical lab na nitatoa mshahara wote wa mwezi wa mwanzo kama shukrani kwa atakae niseidia kupata
Elimu yangu ni Diploma with more than 5 years of work experience
Nina full valid practice licence kutoka laboratory board of Tanzania
Nitangulize shukranu wakuu msaada wenu unahitajika