kiu ya haki
Senior Member
- Jul 17, 2015
- 103
- 56
Wakuu habari zenu,Mimi ni fresh graduate wa faculty ya Medical Laboratory sciences (Medical microbiology & Immunology ),Natafuta kazi iwe katika hospitals,collage za afya au sehemu yoyote inayoendana na hii course.
kwa mawasiliano zaidi niPM.
kwa mawasiliano zaidi niPM.