Mr.Bakari hanje
Member
- May 16, 2013
- 24
- 0
Hivii dawa ya kuongeza nguvu za kiume inaitwaje?? Na pharmacy inapatikana?
Dawa hizo ni Sidenafil Citrate ila zinakuwa branded kama Viagra,Kamagra etc na pharmacy zipo ndio.Ila hii njia ina matokeo mabaya mbeleni