king suleman JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 1,749 Reaction score 1,153 May 22, 2021 #1 Habari wadau wangu , naomba kujua jina la shule hapa Tanzania inayofundisha ki jeruman au kifaransa nataka mwanang akasemee hapo mwakani nadhamiria ajue lugha mbili kijeruman na kingereza au kifansa na kingereza , Asante
Habari wadau wangu , naomba kujua jina la shule hapa Tanzania inayofundisha ki jeruman au kifaransa nataka mwanang akasemee hapo mwakani nadhamiria ajue lugha mbili kijeruman na kingereza au kifansa na kingereza , Asante