Ufipa-Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 4,582
- 2,783
Najua wengine wanapinga na wengine wanakubaliana na hoja yangu. Media nyingi, hasa za mrengo wa kushoto zimekuwa zimeshupalia habari za Makonda kuliko hata matatizo yaliyo wagusa Watanzania katika kipindi cha mwezi huu.
Kuna mengi sana yametokea ila Makonda ndo amekuwa maarufu sana kwenye social na print media.
Nina wasiwasi na baadhi ya magazeti kama yatakuwa na habari tena baada ya hapa.
Kuna mengi sana yametokea ila Makonda ndo amekuwa maarufu sana kwenye social na print media.
Nina wasiwasi na baadhi ya magazeti kama yatakuwa na habari tena baada ya hapa.