Media TZ iko utumwani

Nsimbi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
1,091
1,202
Juzi ilidaiwa mfanyabiashara maarufu aliwahonga baadhi ya wanahabari Sh. 50000@ wamponde katibu wa Yanga aliyefukuzwa kimizengwe Na kumpamba tycoon hiyo Ili kuficha ukweli.

Hivi sasa media imetekwa Na tycoons, politicians Na wakuu wa mashirika ya umma Na binafsi.

Baadhi ya wahariri hapa nchini wanaishi Na kuneemeka Na rushwa Na hongo wanayopewa Ili kufunika madhambi.

NSSF, PPF, SSRA Na wakuu wa mashirika mengine wamejenga ushirika 'mtakatifu'

Wahariri wanawasaidia viongozi hai kuficha maovu Na wakurugenzi hao wanawasaidia wanahabari hao kutuliza njaa zao kwa gharama za wananchi.
Juzijuzi inadaiwa Dau kawagawia wahariri hao mashamba kule Handeni.
Katika hali hiyo habari mbaya ya nssf inaweza kutoka?

Karibu wahariri wote nchini wako mifukoni mwa watu. Wanajirahisisha mno. Kuna mwanasiasa alihonga mno baadhi ya wahariri Ili apate urais. Kashindwa.

Wahariri Ni watalaamu lakini siku hizi wamekuwa extremely cheap. Nimeshuhudia sehemu wakigombea rushwa ya 10000@ Wanadoea whiskey, wine, bia Na hata pilau.
 
unaweza kutupa ushahidi juu ya hilo la Dr. Dau kuwagawia mashamba waandishi wa habari huko handeni? hatutaki majungu.
 
Back
Top Bottom