Mkuu Moon, nakubaliana na wewe kabisa aisee. RUSHWA kwa mapresenter na POOR MANAGEMENT kwa artists wenyewe ndizo sababu kubwa kwa hiphop artists wa kweli kushindwa kukubalika kwenye jamii. mapresenter wanaangalia pesa ili wakupe promo, na sio contents za nyimbo. ni shidaaaaa
mkuu hao wanaotamba ni kwasababu,,Hivi unafikiri hata hawa wanaotamba sasa wana GOOD MANAGEMENT kuliko wasiotamba? labda tungeelewa maana ya GOOD MANAGEMENT ndio tungejua sanaa ya Bongo hakuna GOOD MANAGEMENT.
Muda huongea!
Namlaumu profesa J a.k.a nigger J kwa kubadilsha iliyojuwa hip hop na kuja na kitu kinachojulikana leo hii kama bongo flavour.
Chemsha bongo ndio imetuharibia muelekeo...! Kwa wafwatiliaji mtakuwa mmenisoma!
Mziki umebadilika Hip hop ya miaka 90 sio kama sasa.
Mziki wenye kuburudisha ndo unapendwa zaidi kuliko wa mziki wenye messages.(miziki inayofaa kupigwa clubs ndo inapendwa na watu wengi) kitu ambacho mamc's wengi hawafanyi wao ni concious tu.
Mamc's wa tz wajaribu kutengenza na miziki ya kuchezeka(club bangs) lazima nyimbo zao zitapata airtime .Siku hizi afro pop ndo ina kick. Ona kina Ommy dimpoz,diamond n.k wanavyokick kimataifa.Hits kama prof jay (kipi sijasikia) itavuma hapa bongo sio international japo itapata airtime bongo kwa ajili ya message yake.
kitu unachokiongea sio kwa tz tu ni dunia nzima mf huwezi kuona video za watu conscious mtv au bet watu km.talib kweli mos.def . immortal technique nk utawaona wakina lil wayne drake future nk medias ni cooparate companiz ambazo nikm zina ajenda moja yakupromote gayizm stupidness na destruction of morals among mass. wakipiga nyimbo za watu conscious wanaogopa kwamba watu watakua empowered mentally. spiritual nk. media nyingi zina ajenda ya shetani. kwa hiyo km neno linavyosema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. sisi tulioelimika na kujitambua tunapaswa kuwapa support ma emcee conscious km kununua kazi zao mixtape or album na franchise zao nyingine. support tamaduni weusi nk
Umenikumbusha jambo hapa, Chemsha Bongo ilimfanya kila mtu aone kuwa hata yeye anaweza kurap...