William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
It started long long ago, Zitto is a threat not only to CCM but even to some chadema leaders who are after their own gains
acha ujinga lowasa hana nafasi mbele ya zito2015 kura yangu kwa lowasa au zitto.
TUNASHUKURU CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kutoa nafasi kwa vijana kuonyesha uwezo wao katika kujenga taifa. CHADEMA kwa kumpa nafasi MH ZITO KABWE akagombea nafasi ya ubunge wa kigoma kaskazini na kudeliver ambacho alitarajiwa na chama na kulisaidia taifa kujua uovu mbalimbali aunaotendwa na serikali dhidi yetu sisi wananchi. mh ZITO NDIO TUMAINI LETU SISI WATANZANIA KUELEKEA 2015,
TUWAENZI MASHUJAA WETU!!!!!

zito ni mutu wa watu
Mkuu zitto ni kiongozi,pamoja na mapungufu yake aliyo nayo lakini bado ni miongoni mwa viongozi wanaokubalika na kuaminika hapa nchini.
Na ndiyo maana utaona kila siku kuna misukule humu ndani inafanya kilajitihada za kumchafua ili aonekane hafai kumbe ndio kwaanza wanampa mibaraka,kumbuka siku zote mti wenye matunda ndio unaopondwa mawe,ni ngumu sana kukuta mtu,ama kundi la watu wako chini ya mti wenye matawi pekee wakiuponda mawe,lakini si ajabu kuona wakifanya hivyo chini ya mti uliojaa matunda!
Hata wakikesha wakimchafua kamwe hawataweza dogo uwezo wake mkubwa sana mbowe na slaa wanajua ndiyo maana wanatumia ile misukule ya bavicha kumchafua.Mkuu zitto ni kiongozi,pamoja na mapungufu yake aliyo nayo lakini bado ni miongoni mwa viongozi wanaokubalika na kuaminika hapa nchini.
Na ndiyo maana utaona kila siku kuna misukule humu ndani inafanya kilajitihada za kumchafua ili aonekane hafai kumbe ndio kwaanza wanampa mibaraka,kumbuka siku zote mti wenye matunda ndio unaopondwa mawe,ni ngumu sana kukuta mtu,ama kundi la watu wako chini ya mti wenye matawi pekee wakiuponda mawe,lakini si ajabu kuona wakifanya hivyo chini ya mti uliojaa matunda!
acha ujinga lowasa hana nafasi mbele ya zito