Medani za Siasa na Uchumi!

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
803
pasipo siasa bora ni vigumu kuwa na uchumi imara, pia pasipo uchumi imara ni vigumu kuwa na siasa bora. Kwa madhumuni ya kuleta maendeleo nchini mwetu kuna haja ya haya mambo mawili (siasa na uchumi) kuangaliwa kwa ufasaha! thats why napenda kutazama kile kipindi cha medani za siasa na uchumi cha star tv. Je mwadhani haya mambo mawili (siasa na uchumi) ni muhimu kutazamwa/kuzungumzwa? Je na wewe pia unaamin kwamba haya mambo ni mhm kwa maendeleo ya taifa letu?
 
kudorola kwa uchumi wa tz nadhan kuna kuchangiwa kwa siasa mbovu pia!
 
Back
Top Bottom