Mechi za Yanga zichunguzwe, haiwezekani wanashinda mechi kirahisi namna hii

Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Maumivu ya kichwa huanza polepole
 
Ww Libeva nimeangalia mpira? Mtibwa hawajacheza mpira wa ushindani labda kwa kuwa maji hayakuwepo
Wamepoteana kutokana na timu wenye uwezo mkubwa kuliko wao, wanashukuru Mungu hawajala mkono, mpira wa papatu papatu huwa anacheza na Mikia wakikutana
 
Wakati mwingine tumieni japo common sense kufanya hicho mnachoita eti analysis...

Hivi Yanga ambayo ilimtandika Kolo si ndo hii hii?

Hivi Yanga ambayo Kolo ilifanya sherehe kisa tu imetoa sare kwenye premier league si ndo hii?

Hivi Yanga ambayo imemtandika Azam isiyo na njaa kwenye Premier League si ndo hii hii?!

Sasa hivi mnatumia vigezo gani kutarajia Mtibwa iliyo hoi taabani iweze kuisumbua Yanga?

Yaani kwavile mlitandikwa na Mtibwa ndo mlitarajia wangefurukuta mbele ya Yanga?

Nawakumbusha tu kwamba, tunakutana tena kwenye nusu fainali ya Azam Federation!!
Nawasubiri sana tena hadi naona kuchelewa ninahasira sana na vyura
 
Haya mkamfollow Muddy TikTok huko anawaita.
Screenshot_20220223-183400_Instagram.jpg
 
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Magoli ya michongo hayo subiri wakutane na michongoma
 
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Wachunguze na mechi ya Azam na Biashara haiwezekani Azam washindwe kizembe vile
 
Hoja hupingwa kwa hoja , matusi hayatasaidia kitu , zipo juhudi fulani zisizo rasmi za kupinga sisi wanasiasa kuandika kwenye majukwaa mengine , hilo halikubaliki , nipingeni kwa hoja , nilipohoji udhamini wa GSM , Kila mjinga alinishangaa , lakini mkataba ule uko wapi leo ?
Sasa mkuu mbona hakuna hoja hapo zaidi ya tuhuma zisizo na ushahidi ambazo Kwa ilivyo unaonekana ni uzishi au propaganda chafu.
 
Tukitaka kukuza soka la Tanzania tunapaswa kucheza na kushinda kwa haki .

Hii game ya Mtibwa vs Yanga ni kama ya kimchongo kabisa yaani , magoli yaliyofungwa mbona ni laini sana ! inakuwaje Mtibwa wanacheza wao lakini wanafungwa kizembe vile ?

Kuna haja ya kuchunguza kama kulikuwa na maelewano ya nje ya Uwanja kati ya timu hizi mbili .

Naomba kuwasilisha .
Kwahiyo ile siku nyinyi mliuza mechi kwa mbeya city na kagera?? Mlizoea kuiba ndo maana mnaona yanga anaiba pia. Mpira vipindi vyote yanga kamiliki mpira sasa hoja yako kwamba mtibwa kacheza yeye mpira akafungwa unatoa wapi??

Wewe bado mchanga sana kwenye tasinia ya mpira wa miguu.
 
NAFIKIRI mtoa POSt mpaka Sasa ushagundua kua ulichoki post ni ujinga na hakiendan na ww YAAN ni 0.0 Sasa futa alf achaga kupost mpk pale utakapohitimu masomo ya namna ya kutumia Jf usiwe mtu wa zero Brain YAAN 0.0
Mechi za Kimataifa zitaleta uhalisia
 
Kuna kitu kinaendelea katika timu ya Yanga hawa lazima wananunua mechi haiwezekani. Angalia timu zinazocheza na Simba utadhani ni fainali.
 
Mtibwa ni timu ya chama kama ilivyo kwa channel ten, itakuwa ilitolewa amri tu, kuwa waachiwe washinde, siunajua ubingwa safari hii unatafutwa kwa njia yoyote ile ili mradi ubingwa upatikane.
 
Kuna tatizo pahala, inaonesha ukiwa chadema na mpenzi wa Simba, ni kama unakuwa punguani! Ona wote wapenzi wa Simba na Chadema hapa JF walivyo wapuuzi
 
Back
Top Bottom