Mechi imeisha na matokeo Simba wameibuka kidedea baada ya kuwapelekea moto wenzao wa Yanga kwa penati tatu kwa mbili, hongera wabunge washabiki wa Simba.