tutasikia spika wa bunge anaomba TFF waangalie uwezekano wa kuondokana na mshindi kupatikana kwa njia ya matutaMechi imeisha na matokeo Simba wameibuka kidedea baada ya kuwapelekea moto wenzao wa Yanga kwa penati tatu kwa mbili, hongera wabunge washabiki wa Simba.