44mg44 JF-Expert Member Joined Jun 16, 2019 Posts 2,159 Reaction score 2,189 Oct 12, 2022 #1 Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini?
Waminyato JF-Expert Member Joined Jun 22, 2022 Posts 2,195 Reaction score 4,541 Oct 12, 2022 #2 Siku yoyote ile Simba wakijisikia.
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Oct 12, 2022 #3 Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi.
Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi.
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,145 Reaction score 27,281 Oct 12, 2022 #4 44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo,Sasa sjui imeahirishwa,na je itachezwa Lin ? Click to expand... Ulikuwa umeshafika uwanjani?
44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo,Sasa sjui imeahirishwa,na je itachezwa Lin ? Click to expand... Ulikuwa umeshafika uwanjani?
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,145 Reaction score 27,281 Oct 12, 2022 #5 Execute said: Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi. Click to expand... Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo
Execute said: Sielewi kwanini wanaahirisha hizi mechi. Wote simba na yanga walitakiwa kucheza kama sehemu ya maandalizi. Click to expand... Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,005 Reaction score 7,385 Oct 12, 2022 #6 Lupweko said: Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo Click to expand... Mlicheza na mbuni.
Lupweko said: Sisi Yanga tumeshakataa mechi za maandalizi, ziwe za timu ya ndani au ya nje. Programu nzima ya kocha haihitaji mechi hizo Click to expand... Mlicheza na mbuni.
Action and Reaction JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 1,541 Reaction score 1,582 Oct 12, 2022 #7 44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini? Click to expand... kwani Simba aliposafiti wiki jana Yanga mechi yao alicheza na nani?
44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini? Click to expand... kwani Simba aliposafiti wiki jana Yanga mechi yao alicheza na nani?
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 45,592 Reaction score 135,580 Oct 12, 2022 #8 44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini? Click to expand... Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi.
44mg44 said: Mi nilijua inachezwa leo, sasa sijui imeahirishwa, na je itachezwa lini? Click to expand... Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi.
K11 JF-Expert Member Joined Oct 15, 2014 Posts 4,199 Reaction score 13,577 Oct 12, 2022 #9 Tate Mkuu said: Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi. Click to expand... Hata suala la yanga kupata sare dhidi Al hilal Tate Mkuu said: Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi. Click to expand...
Tate Mkuu said: Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi. Click to expand... Hata suala la yanga kupata sare dhidi Al hilal Tate Mkuu said: Majibu yote anayo Wallace Karia, na Bodi yake ya Ligi. Click to expand...
evonik JF-Expert Member Joined Jun 12, 2015 Posts 3,996 Reaction score 5,187 Oct 12, 2022 #10 Leo pia ilikuepo Azam vs Dodoma
B Bagamoyo Platinum Member Joined Jan 14, 2010 Posts 32,098 Reaction score 36,942 Oct 12, 2022 #11 Match fitness itaathiri ubora wa ligi kuu ya Tanzania bara. Bila mechi kuzingatia ratiba zilizopangwa kwa mechi mfululizo kuchezwa, wachezaji wa timu za Tanzania hawajitumi ktk kufanya mazoezi ya ziada hivyo kiwango cha wachezaji hushuka.
Match fitness itaathiri ubora wa ligi kuu ya Tanzania bara. Bila mechi kuzingatia ratiba zilizopangwa kwa mechi mfululizo kuchezwa, wachezaji wa timu za Tanzania hawajitumi ktk kufanya mazoezi ya ziada hivyo kiwango cha wachezaji hushuka.