Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Habari.

Naona TFF wameanza kupata funzo muda si mrefu wametangaza kuhahirisha mechi.

Na kwa muda huu wanaomba waandishi wa habari kuwasogezea vipaza sauti kwa mahojiano zaidi.

Kwa maelezo zaidi tusubiri ufafanuzi ila hadi sasa wametoa tamko kuwa hakutokuwa na mechi ya Simba Sc na Young Africans siku ya leo hadi itakapo tangazwa tena.

Nawasilisha Mzee Mkoloni

Cc: Kichwa Kichafu
Nimewapa tusi moja la maana
 
Mwangalie hata usoni Bashungwa,kama ni taahira fulani,mzembe mzembe sana alivyo
Ni kweli kabisa mkuu 😂😂😂. Mama Samia nitamshusha sana vyeo asipoyaondoa haya mataahira mawili - Bashungwa na Abbas.

Binafsi ni Simba, ilipaswa Simba wasimame na Yanga kuwa kitu kimoja. Huwezi kuahirisha mechi kizembe namna ile sababu ya tukio la uzinduzi wa kitabu.
 
Yanga imejali maslahi yake bila kujali maslahi ya washabiki

Watu wamesafiri kutoka mikoani, wametumia gharama, wamepoteza muda wao zaidi ya saa 12

Ila wao hayo masaa 2 wameona la maana Sana zaidi ya hisia za washabiki wao

Wao wanahisi huo msimamo wao utawasaidia Nini? wametutia simanzi kwa kweli
 
Hichi ndicho kilichowakimbiza?
Screenshot_20210508-185706.jpg
 
Ni kweli kabisa mkuu 😂😂😂. Mama Samia nitamshusha sana vyeo asipoyaondoa haya mataahira mawili - Bashungwa na Abbas.

Binafsi ni Simba ilipaswa Simba wasimame na Yanga kuwa kitu kimoja. Huwezi kuahirisha mechi kizembe namna ile sababu ya tukio la uzinduzi wa kitabu.
Mambo ya ajabu sana haya,mimi ni Simba ila Mamlaka zimechemka sana leo...serious shughuli ya pale kwa mzee Ruksa ilete taharuki hii!!?
Cuz Watanzania wengi wameboreka sana leo, Serikali inaenda kulala leo bila baraka za watu wake.
 
Yanga imejali maslahi yake bila kujali maslahi ya washabiki

Watu wamesafiri kutoka mikoani, wametumia gharama, wamepoteza muda wao zaidi ya saa 12

Ila wao hayo masaa 2 wameona la maana Sana zaidi ya hisia za washabiki wao

Wao wanahisi huo msimamo wao utawasaidia Nini? wametutia simanzi kwa kweli
Na kuna yule shabiki wa kigoma alokimbia almost mwez mzima kuangalia mech ya simba na yanga sijuh itakuwaje ataishi vp dar ...bongo Kuna vituko...!!
 
Yanga wamepata kisingizio!
Mbona wenzao hawana noma?!
Kisingizio cha nini wakati wameingiza timu uwanjani?!

Acheni ushabiki maandazi... kilichofanywa na TFF ni ujinga uliovuka mipaka!! Hivi unabadili vipi ratiba wakati zimebaki saa kadhaa tu?!

Hata ukiingia kwenye Insta Account yao, wame-post taarifa majira ya saa 7 kuelekea saa 8!

Suala kwamba eti mbona wenzao hawana noma haliwezi ku-justify ujinga uliofanyika!!

Btw, timu isipotokea si walitakiwa kuwapa Simba point 3:2?! Kwanini wasiwape na wanaamua kuahirisha mchezo?

Kama hujui jibu ni kwamba, wakati wewe unajaribu kutetea ujinga wao, TFF wenyewe wameshajua kwamba walichofanya ni ujinga!!!
 
Back
Top Bottom