Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ya Simba na Yanga imeahirishwa

Mechi ilitolewa taarifa tar 21 siku nne kabla ya mechi ambayo ilikuwa tar 25.
Hiyo taarifa unayoiongelea iliyotolewa tarehe 21 ilikuwa ni kusogeza muda wa mchezo kutoka saa 10 jioni kwenda saa 1 jioni. Taarifa ya mara ya pili ya kusogeza muda tena kutoka saa 1 jioni kwenda saa 2 na robo usiku ilitolewa siku ile ile ya mchezo.
 
Inaweza ikajirudia tena baada ya watu kunyimwa uwanja kwajili ya mazoezi
 
TFF na bodi ya Ligi wote wajiuzulu. Huo uliofanyika ni upuuzi sana..

Mimi ni Simba damu, ila ubakaji uliofanyika ni ushenzi usiovumilika.
2025 Wameachia ngazi Bodi ya league baada ya miaka 4
 
Back
Top Bottom