Mechi ya Dakika 45 Tanzania

Mechi ya Dakika 45 Tanzania

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Nasikia mechi ya marudio baina ya Mtibwa na Kagera Sugar iliyochezwa leo 'asubuhi' imechezwa kwa dakika 45 na Kagera Sugar wakafanikiwa kupata bao.

Hapo awali mechi hiyo ilichezwa hapo jana na Mtibwa ilijipatia bao moja na mechi ikaahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji

wenye taarifa na maarifa mtujuze katika hili
 
mpira wa analogia (zamani) game ingeludiwa yote mfano game ya simba na ismailia. Ila digital game inarudiwa mda uliosalia mfano galatasaray na juve..
 
watu wanalipa tena kiingilio au kilekile cha jana?
[video]https://www.facebook.com/video.php?v=1105816609445934[/video]
 
nimekupata vyote kasoro analojia na dijitali
 
watu wanalipa tena kiingilio au kilekile cha jana?
[video]https://www.facebook.com/video.php?v=1105816609445934[/video]
kwa Manung nadhani wameingia bura but swali zuri
 
Back
Top Bottom