Mechi ya Biashara united vs Coast Union

Plot281

JF-Expert Member
Nov 24, 2016
875
454
Mtifuano huu wa Leo lazima mbabe ajulikane leo.
Je coast ataendeleza record yake ya ushindi kama mzunguko wa kwanza ulivyokuwa au

Biashara nae atalipa kisasi

Nahakika itakuwa ni mechi nzuri sana tungoje dakika tisini.
 
Inachezwa saa ngp mkuu?
 
Cha kushangaza biashara kacheza ijumaa, leo anacheza tena halafu anakuja jumamosi Dar kucheza na yanga wakati yanga kacheza jumamosi amepumzika hadi jumamosi lakini wakifanya vibaya wanaitisha mikutano na waandishi wa habari wanasema bodi ya ligi na Tff wanawahujumu
 
Pamoja mbeleko yote hiyo wakifungwa wanaenda kusoma albadri
 
Ajabu kwenye hii mechi leo, Coatal union wamevaa jezi ambazo hazieleweki. Kuna ambazo jezi zina namba mgongoni na tangazo la mdamini kifuani. Lakini ajabu kuna wachezaji ambao wamevaa jezi nyeupe kabisa bila namba mgongoni wala tangazo la mdhamini kifuani. Sasa sijui hapa TFF wanasemaje? Au kanuni zimebadilika? Naomba mwongozo wenu hapa kama ni halali.
 
Back
Top Bottom