Nemesis
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 5,536
- 4,533
Messi asipofunga kiatu itakuaje,kwani wanalingana na Ronaldo.
atapendelewa Messi kwa sababu anaitwa magic (magoli yake makali).
Messi asipofunga kiatu itakuaje,kwani wanalingana na Ronaldo.
Got to give props to Evra, kamficha Messi mfukoni
Pique unataka kufunga au unaokoa...khaaa!!!
ahahaaa ameshazoea kuokoa
Pogba ana mbavu
Pique unataka kufunga au unaokoa...khaaa!!!
Pogba ana mbavu
Unaona kinyume au umegeuza TV???
Za mbwa.