palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
refa hayupo uwanjani nahisi
Hii.nina wasi wasi ya Arsenal na Aston villa yasije yakajirudia
Juve wanapiga buti tu!!
Refa amemnyima Pirlo nafasi ya kufanya vitu vyake ..
il marehemu? au Un
Hivi Pogba anasifika kwa lipi? Tangu nianze kumwangalia(mechi kadhaa) sijagundua uzuri wake. Labda ni makengeza yangu naona dogo ni overrated my opinion.