Said Stuard Shily
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 2,266
- 1,894
mkuu hata kagame cup umeipendelea hadhi ya ile mechi ni SANGA ONE CUP kutoka uwanja wa shule ya msingi SOKOINE HAPA BOMBAMBILI SONGEA.Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.
Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Last season Holoya walicheza na Simba hawakutumia uwanja wao kwao Guinea kulikua na vita home ground yao ilikua Benin lakini bado mka kandwaHàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.
Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Mwaka huu mtaongea kila sentesimkuu hata kagame cup umeipendelea hadhi ya ile mechi ni SANGA ONE CUP kutoka uwanja wa shule ya msingi SOKOINE HAPA BOMBAMBILI SONGEA.
Na utasema yote uharishe kabisa na baado.jana mmetoa draw baada ya kadi nyekundu kwa powerdianamo.mtasema yoteHàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.
Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Mmebadili gia angani maana mwanzo mlimsifia sana huyo mwarabu mweusi.Hàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.
Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
sawa mbumbumbu...Hàbari za Jumapili wapendwa.

Aaahaaaa tukutane makundiHàbari za Jumapili wapendwa.
Nimetafakari sana juu ya mechi ya jana kati ya Utopolo vs Refugees na kugundua mechi ile haikuwa na hadhi ya kuitwa CL Africa bali ni Kagame Cup kwa kuwa wale jamaa walikuwa wakicheza huku wakiwaza this time tomorrow.Ama kwa Hakika tuliombee Taifa lao amani irejee vita ni mbaya sana.
Hata hivyo kwa kuwa upande wa pili ni watu wanaopenda matatizo ya wenzao kwao ilikuwa sherehe pale Pele stadium ama kwa hakika wamepiga bomu Mortuary.Naomba tuwe na kiasi katika kuchangia uzi wangu
Hizi kauli zimekaa kishogashoga..Na utasema yote uharishe kabisa na baado.jana mmetoa draw baada ya kadi nyekundu kwa powerdianamo.mtasema yote
Pole ndugu kwa uchungu ulionao, kupunguza uchungu anzeni na kumtimua kocha wenu,halafu mwangalie nani mwingine kikwazo kwenye mafanikio yenu.😂Hàbari za Jumapili wapendwa.